FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...nani mshindi

The fact that would chicken me out ni ile ya kusema It will b boring....
One side will be proving questions while the other answers...
And that Ngabu is NOT a debate! lol

Ooh I get it now. You just don't wanna go around in circles.
 
Count down to X-mas and new year chit chat is ze place to be.

Sasa hapa ni NN vs FF au NN Yoyo.

haya mapamban yanawe kusababaisha ban za mbili
  • Kuna zile tulizozoea za member kupigwa ban na mod
  • Lakini kwa uzoefu wa debate ya kiinglish iliyopita iliyopta inawezekana mipambano hii ikasababisha watu wajipige ban wenyewe.
 

I can debate them both at the same. So if they want they can join forces and let's go for it.
 
Hey Alter.... Kind of missed u? been kind of that busy?

Usiniambie washabikia? You have got to be kidding....lol
Ndio Hun, nashabikia. . . sijafagilia sana utaratibu wakuamua who debates versus who, na on what topic, ila ikitokea watu wakanza kudebate spontaniously katika mada hua naenjoy sana.
As I said hapo juu, it has to be in the rules of a debate. yaani mnaongea na kujadili mada, sio personal attacks.
We are not great thinkers for nothing, from time to time it feels good to be able to challenge an idea and convince the person reading us that she/he is wrong and we are right.
 
Ahaaa......nimegundua, AshaDii anamshabikia FF kwa ajili ya jinsia , ngoja na sisi tulianzishe........
Way to go NN, hakuwezi huyo FF

HEHEHHEHE MZEIYAH!

ff hauwezi mpambano..kama kawaida ya wanawake wa tz wamezoea kubebwa..kura zangu zinaenda kwa NN

si kweli aiseeee!!

Siwezi kukupa ujiko huo. Tafuta mla vumbi mwenzio mkabishane naye.

SO ITS NN VS YY now?

Cant wait for this mini mpambano
.
 
Hii warm up ilianza vizuri . FF uko wapi ?


 
I will give this Chicken feet to Tausi Mzalendo, so that she can choose who to chicken feet (Sona Prison - from the Prison break)
 
Nimependa jinsi Yo Yo anavyojiamini.

FF Anamuona M. Mwanakijiji ni easy game, Mwanakijiji umeipata hiyo njoo hapa haraka kabla sijaku PM.

NN una dawa gani wewe mpaka FF anakukimbia? Ila kiboko yako Yo Yo...
 
Hii X mass hata kama snow haitaanguka tumeshapata zawadi ya debate hapa JF... Brilliant idea...
 
I would really like to debate Mzee Mwanakijiji in any given topic on any given grounds, as for NN "I am entering trees" LOL.

FF before mwanakijiji I propose you to have a debate with black rose reagrading #191

Lakini iswe ndio style ya kuchomoka hapa kwa NN
 
Nimependa jinsi Yo Yo anavyojiamini.

FF Anamuona M. Mwanakijiji ni easy game, Mwanakijiji umeipata hiyo njoo hapa haraka kabla sijaku PM.

NN una dawa gani wewe mpaka FF anakukimbia? Ila kiboko yako Yo Yo...

That Yo Yo kiddo ain't got nothing on me. If you don't believe me just go back a couple of pages and see the kind of topics that he proposed we should debate on and see how juvenile they are.

And if you guys really wanna see a rhetorical warfare that's on a level of it's own you gotta match me up with some serious contenders and not pretenders.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…