FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...nani mshindi

I ain't even gonna waste my time on you coz soon you gonna start foaming at the mouth while speaking in tongues like a possessed wayward silverback gorilla.

Si ulisema both of us? Rember hakuna matusi, sina huo muda.
 
Mungu hapendi mashindano ya biblia...tuyaboreshe hayahaya...nenda kamtafute wanchekesha umlete

Wanchekesha anatafuta vibomba nae atoke vp dah nawakumbuka sana Pundit na Bruelay sijui wapo wapi.
 
Kusanya kina FF kumi,
Hawawezi kufikia hata robo ya NN!
Live Longer NN,
 
Kumbe injini ya scania shokap za bajaj
usituumizie babuu, tumemlea wenyewe Fidel80

ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa
mwaego mie mshabiki, huwa hapigwi hata mieleka ya tandale.
Nipotezee

Na wewe umeuweka kwenye masaburi?
 
mmh!,subiri kidogo.......
 
Hata kama hatutaki nadhani tunalazimika kukubali kuwa kwa mpambano wa leo NN kaibuka mshindi. Nenda zako Red Lobsters ukalambelambe.
Halafu wewe NN huu mtindo wako wa kutaja maeneo matam matam utasababisha nguvu kazi ya Bongo itamani kuhamia "mtoni".
 
Reactions: YE
Nimependa jinsi Yo Yo anavyojiamini.

FF Anamuona M. Mwanakijiji ni easy game, Mwanakijiji umeipata hiyo njoo hapa haraka kabla sijaku PM.

NN una dawa gani wewe mpaka FF anakukimbia? Ila kiboko yako Yo Yo...

Mzee Mwanakijiji, juzi kafunga nyuzi moja baada tu ya kum crash uneventfully.

Na nimesha mkamata mara mbili aki "quote" Qur'an ndivyo sivyo. Na yeye anajuwa ni wapi.

Nataka ni debate nae katika topic yeyote ile, wakati wowote ule, kwa lugha yoyote ile na kwa masharti yeyote yale. Hii si mara ya kwanza mi kuyasema haya, na yeye anajuwa.

Na nnakuhakikishia hawezi, kwani ameshazowea kuchakachuwa na kucheza na maneno, anajuwa fika kuwa hawezi ku debate na mimi "straight".

Haka ka Nyani Ngabu kapo kapo tu hata ku debate nako ni udhia mtupu.
 

Hivi mpambano ulikuwa unahusu nini? what was the topic?
 
Matumizi ya muda yamewapitia kando baadhi ya Watanganyika wenzangu...nimepita kuwakumbusha kuwa muda ni pesa;
 
Hivi mpambano ulikuwa unahusu nini? what was the topic?

Mpambano ulikuwa ni debate kati ya FF na NN. Topic ni nani bora kati yao. Hizi ni debate za majigambo. Kila mmoja alipaswa kujigamba mpaka mshindi apatikane.
Katika mchakato huo NN amefanikiwa kuwa on top.
 
Matumizi ya muda yamewapitia kando baadhi ya Watanganyika wenzangu...nimepita kuwakumbusha kuwa muda ni pesa;

Unapaswa ujue kuwa kila mtu ana muda wake. Wewe wakati uko busy, mwenzako anaweza kuwa likizo.
If you dont know how to have fun, let those who know how to have it have it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…