Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko Msoga!Jamani wanajukwaa Faizafoxy member maarufu wa jamiiforums yuko wapi ?
Nimemiss zile kauli zake "shuleni ulienda kusomea ujinga ? "
Jamani wanajukwaa Faizafoxy member maarufu wa jamiiforums yuko wapi ?
Nimemiss zile kauli zake "shuleni ulienda kusomea ujinga ? "
Anatumbo la kuharaJamani wanajukwaa Faizafoxy member maarufu wa jamiiforums yuko wapi ?
Nimemiss zile kauli zake "shuleni ulienda kusomea ujinga ? "
Mkuu inaonekana unachunguzaga IDs za watu wengi humu ndani heeeeeeehYuko katika ignored lists za Watu wengi humu JF hivyo siku hizi anajitahidi mno kuja na ID's mpya. Yupo sana humu Mkuu ila unahitaji ' umakini ' mkubwa kuweze kumjua. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu inaonekana unachunguzaga IDs za watu wengi humu ndani heeeeeeeh
Haahaaaa nishagraduate.Sasa hivi umeshasoma werevu?
Yupo subiri atakuja
Analima Au ?Yuko Msoga!
Buku saba zimekata ?Hana maslahi tena.
Hahahaa mkuu kweli ?Naskia ana mimba changa
Daah kumbe ndio sababu amepotea.Kaenda kupokea 14,000/- yake.