N Namtih58 JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 234 Reaction score 46 Mar 17, 2012 #1 Angalia hii na hii Haya ukweli hapa Sasa nauliza mbona afrika serikali zetu hazifanyi research kabla ya kufnaya kitu. Yaani hata mwanafunzi wa engineering Nairobi university angewaambia antena ya radio haiwezi kudetect kombora. Yaliobaki ni maombi tu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Angalia hii na hii Haya ukweli hapa Sasa nauliza mbona afrika serikali zetu hazifanyi research kabla ya kufnaya kitu. Yaani hata mwanafunzi wa engineering Nairobi university angewaambia antena ya radio haiwezi kudetect kombora. Yaliobaki ni maombi tu!