Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Wapo busy kuchakachua za uRais maana JK kadunda vibaya. Kwa sasa hawana nafasi kudeal na za mbunge mmoja mmojaCCM pamoja na kuchakachua kura za urais bado wanaumia kwenye ubunge wanachakachua huku tunawagonga kule
Ni kwamba jamaa wa ccm amechakachua hadi amekosea..Kata yenye wananchi 100 amejaza kwenye fomu kwamba amepata kura 800, kitu ambacho hakipo bado hapa duniani!
Kwahiyo kuna vurugu sana huko, na zimelia vibaya mno mchana kutwa(si unajua mambo ya peeeeooooopleeesssss!!power!
Imetangazwa TBC Live
Du!!! huu ni uzushi mtupu!!!!!!!!!!!!!!!
nimeongea na mdau wa huko mambo bado
na inavyoonekana kuna uwezekano sisiem ikashinda
maana CHADEME kapata kura nyingi maeneo ya Mbalizi ila kwa huko vijiji vya mbali
wananchi wamelishwa yamini ya sisiem
Imetangazwa TBC Live
Hivi neno CONFIRMED jamani tunalitumiaje kwa kubahatisha?
Tafadhali wakuu, unapotamka hivyo ni njema ukileta ukokotozi wa data!
Hawa members walio anza November wana matatizo sana hivi hakuna njia ya kuwadhibiti kwa kipindi hiki!!