Fake + Fake+ Fake = Fake.

Am fine ila sijaamka na furaha kama wewe Amy....nambie....furaha ya nini?

Hata sijui kwanini kaizer.. I think am up to some good news or i might run into luck leo..
 
hata hayo maneno ni feki,mwandiko feki
 
Ungempiga picha tuione mana nasumbuka nikifikiria vile huyo dada amefanana,alafu taharuki hatuiwezi wengine wetu,twambie cha mwisho fake ni gani?
 
duu kweli huyo alikua fake ndo maana anakutana na wanaume taipu feki
 
Ungempiga picha tuione mana nasumbuka nikifikiria vile huyo dada amefanana,alafu taharuki hatuiwezi wengine wetu,twambie cha mwisho fake ni gani?

Kila nikiandika moderators wana kiwekea ***,so haki tamkiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…