Fake zone.....Hii ni too much sasa...

sisi wanaume tuna dhambi sana yan tunawafanya akina dada waongeze tits, kalio n.k mwisho wa siku paja, kiuno, nyonga havijulikani vilipo.
 
sisi wanaume tuna dhambi sana yan tunawafanya akina dada waongeze tits, kalio n.k mwisho wa siku paja, kiuno, nyonga havijulikani vilipo.
ukiona uko na mwanamke au ndugu yako yeyote wa kike ambaye hajiamini alivyoumbwa, huyo peleka akapimwe akili.
Nabaki tu kushangaa kwa nini watu hawajiamini? kujiamini ni moja ya silaha ambayo daima inakupa amani na furaha moyoni

"Girls/Ladies be you and everybody will appreciate you if you appreciates yourself.
God made you for a purpose and you should thank Him for everything."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…