Fali Ipupa ni mkali kumzidi Ferre Gora

Fali Ipupa ni mkali kumzidi Ferre Gora

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
6,782
Reaction score
14,148
kuna nyuzi nyingi za hii battle, binafsi sikuona mshindi kwa maana niliwaona wako 50/50.

nikajipa muda kusikiliza ngoma zote kali za hawa viumbe, nikaja kubaini Fali ni mkali.

goli la ushindi la Fali Ipupa ni nyimbo ya MAYDAY.👈

Fally-Ipupa-Je-travaille-dur-comme-un-loco-lartiste-fait-jaser-la-toile-avec-ce-message-a...-1...jpg

Hii nyimbo imefunika nyimbo zote za Ferre Gola na za kwake mwenyewe Fali Ipupa.

Respect kwake Fali.
 
Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre.

Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba.
 
Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre.

Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba.
Fere alizidi kuniumiza kichwa pale kwa Tshaulila pazyaa"mokili makambo"👈iyo ngoma nayo matata sana.
 
Back
Top Bottom