Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
nimejaribu kuipandisha hapa ila inazingua.Iweke hapa Acha uchoyo
Fere alizidi kuniumiza kichwa pale kwa Tshaulila pazyaa"mokili makambo"πiyo ngoma nayo matata sana.Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre.
Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba.