MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Habarini waungwana.
Ninaomba mnisaidie katika hili.
Nimekuwa nikisoma, sikia na kushuhudia wenzetu (wazungu) wakikumbana na sijui niite tatizo au challenge katika safari zao za mahusiano ya kimapenzi.
nimekuwa nikisikia wapenzi wakiachana kwa sababu tu mmoja wao amefall out of love just like that : I think I have falling out of love, I dont feel the love anymore, I dont want to be married anymore, I think am in love with someone else!!..... then kinachofuatia hapo ni divorce.
Nimekuwa nikijiuliza maswali makuu matatu;
1. Je kwetu sisi hivi vitu hutokea? mbona hatusikii au kuona ndoa zikivunjika kwa sababu kama hizi? Inawezekana ni culture ya wazungu ndio inaruhusu hivyo?
2. Kama inatokea tunaziaccomodate vipi? au ndo hizo nyumba ndogo tunazozishuhudia kila mara?
3. If its so then ipi ni bora kwa afya zetu both kimapenzi na kibinadamu? kuwa mkweli kuhusu feelings zako na kumweleza mwenzio au kuficha na kutafuta faraja nje?
Naomba mnisaidie.