Falling Nandy Vs Shu Diamond ipi Amapiano kali?

Falling Nandy Vs Shu Diamond ipi Amapiano kali?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Lazma tuweke ushabiki pembeni, na tushindanishe kwa haki, tuongee ukweli kati ya Amapiano aliyotoa dada Nandy unaoitwa Falling na hii Amapiano aliotoa msanii namba moja kwa mashabiki wengi Diamond inayoitwa Shu, ipi ni ngoma kali kiukweli ukweli, ipi Ina vibe?

Hapa ieleweke nashindanisha ngoma, sishindanishi nani mkali individually. Wote tunajua Diamond kwa Nandy ni mbingu na ardhi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii avatar yako Coca Kila nikiiona mwili husisimka na kujipongeza kuwa bado niko vizuri , Nina nguvu za kiume[emoji23][emoji23]. kama ni sura yako hii.

Naomba ni niku m-pesa.
 
Hii avatar yako Coca Kila nikiiona mwili husisimka na kujipongeza kuwa bado niko vizuri , Nina nguvu za kiume[emoji23][emoji23]. kama ni sura yako hii.

Naomba ni niku m-pesa.
Mkuu unataka kunipiku aisee
 
Back
Top Bottom