Huyu kijana haiwezekani ikawa ni nyota peke yake, inawezekana kachanganya jua na mwezi.
Hahaha, Na hao wakongo wamechangany nini?Huyu kijana haiwezekani ikawa ni nyota peke yake, inawezekana kachanganya jua na mwezi.
Ni kawaida kwa Mungu kumuwezesha zaidi yule anayechukiwa na wengi bila sababu za msingi, ili kuwaonyesha kuwa chuki zenu zidi ya kiumbe changu asiyenikosea hazina maana. Ila kama wanachokuchukia waja kina maana basi huchukui muda unapotea. Na tutarajie mambo mazuri mengi kutoka kwake, yalishasemwa sana haya ya si bure kuna kitu lakini kijana anazidi kusonga mbele.Huyu kijana haiwezekani ikawa ni nyota peke yake, inawezekana kachanganya jua na mwezi.
Alitembelewa na Awilo au yeye ndo aliwatafuta?si tunaangalia tu movie tunaelewa jamani?kha!Nguli wa muziki wa Africa kutoka DRC Congo mwenye makazi yake jijini Paris Ufaransa amefanya collabo na mkali wa Africa Mashariki Diamond Platnumz, kazi hiyo imefanyika jijini Paris wakati Diamond akiwa kwenye mapumziko mafupi na familia yake.
View attachment 334232
View attachment 334233
View attachment 334234
View attachment 334235
Diamond pia alipata nafasi ya kutembelewa na wakongwe wa muziki Awilo Longomba na Papa Wemba.
Nakwambia hata mimi naweza kama sio nyota basi hadi reli kabonyeza,Huyu kijana haiwezekani ikawa ni nyota peke yake, inawezekana kachanganya jua na mwezi.
Mkuu unasubiri meri jangwaniDuh, kuna kolabo kibao za D hazijatoka.
Ft Mafikizolo
P Square
Neyo
Fali Ipupa etc
Hii nayo tutaisubiri sana.
Mweewh..! inamaana kwa kuwa kiba kashatoa kolabo na Fally ndo Mondi asitoe.? tena anashirikishwa na sio anashirikisha inamaana kuwa ametafutwa na sio kutafuta. mbona tulisikia alikiba anataka kufanya kolabo na neyo mpaka leo kimyaaaa,mara na davido mpaka leo kimyaaaa...! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. mondi kwa sasa yupo mbali zaid ya msanii yoyote Afrika mashariki. you heard.!?Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
Mkuu unasubiri meri jangwani
Maskini ukisikia mtu anatoa kafara ili afanikiwe bas kiba kamtoa uyu jamaa kawa msukuleYani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.