Falsafa ya ‘Law of Pressure’ inavyoiwezesha CHADEMA kuidhoofisha CCM na kuzidi kuipa wakati mgumu Serikali na Vyombo vya Ulinzi

Unataka kusema CHADEMA wakiingia ikulu haya mauaji yanayoendelea nchini yatakuwa yamefika mwisho?.

Tupa hilo shuka pembeni, simama jinyooshe kumeshakucha.

Hiyo amani ya kweli unaipata ukiwa ndani ya jeneza, dunia haina usawa wala haki.
Kwahiyo ccm wanafanya haya mauaji sasa kwakuwa cdm nao wakiingia madarakani watafanya?!
 
Kwa asiye na akilia atakujibuu kiiovyooi

Mimi mwenye akili humu ndani na wakongwe wenzangu Seniors lazima tukujibu hivii

Ccm hakuna watuu wamebaki wakutumia nguvuu na kusifia basiii.

Ccm ni chama change lazima niwaambie ukwelii
 
Mmebaki na mbinu za kizee mno wakati kizazi kimebadilika. Kwa kifo hiki cha Mzee kibao, uhayawani wote wa ccm umewekwa wazi peupe.
Ushahidi huna, vipi kama kauliwa kwa sababu ya wivu wa kimapenzi?.

Unajua vizuri marehemu aliishi vipi alipokuwa hai?.
 
Mmebaki na mbinu za kizee mno wakati kizazi kimebadilika. Kwa kifo hiki cha Mzee kibao, uhayawani wote wa ccm umewekwa wazi peupe.
Waliuawa wengi sana kabla ya marehemu huyu. CCM na watu makini wameshazika na sasa maisha yanaendelea,

Hatuwezi kupoteza muda kwenye kuandamana na ujinga mwingine unaotajirisha akaunti za Mbowe tukaacha kufikiria masuala ya maana.

Mbowe na team yake ndio wanaishi kwa hizi siasa za kufarakana na kupenda kuona nchi haitawaliki.
 
Bandiko konki kabisa ulichosema ni kweli nisawa na kusema kuwa bandubandu umaliza gogo
 
Kwahiyo watu wakifa kwako wewe ni furaha tu kwakuwa wanaotekwa nakuuwawa sio watu wa mlengo wako
 
Yaan unaandika vitu vingi ambavyo havina impact wala ukweli wowote.
Wewe ndo umeshindwa kusoma na kuelewa, kama umeshindwa kuelewa andiko lenye lugha ya wazi kabisa, huwezi kuelewa impact ya vitu alivyoandika.

"BORA SANA WAZAZI KUFUGA NGURUWE KULIKO KUSOMESHA MTU KAMA WEWE"😅🤔
 
95% ukosahihi
 
Ya Lamadi na Lulembela unayazungumziaje ?
 
Nimesoma Physics, Chemistry na Biology hadi form 6 ila sijawahi kukutana na kitu kinachoitwa ' Law of Pressure'.
 
Kuna ubaya kama Mbowe akiishi hivyo wakati kuna wanaoishi kwa kuua pia? Au mnatarajia watu wote watakuwa makondoo kwa muda wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…