Falsafa ya ‘Law of Pressure’ inavyoiwezesha CHADEMA kuidhoofisha CCM na kuzidi kuipa wakati mgumu Serikali na Vyombo vya Ulinzi

Kuna ubaya kama Mbowe akiishi hivyo wakati kuna wanaoishi kwa kuua pia? Au mnatarajia watu wote watakuwa makondoo kwa muda wote?
Wewe ni wale wale wafuasi wa Mbowe na neno lake pendwa 'makondoo', hakuna anayependa kuona uwepo wa makondoo, siasa zinahitaji ubunifu kwani muda haugandi hautusubiri sisi wenyewe unakwenda kasi.

Mbowe ana haki ya kubadili aina ya siasa zake kulingana na muda unaokuwepo. Huu uanaharakati ni hatari kwa hao wafuasi wake, yeye nina uhakika passport inamruhusu kukimbilia nchi yoyote duniani.

Wakati akiwa ndani ya ndege, huku mitaa ya Manzese na Mabibo atawaachia matatizo raia wasio na kosa lolote. Hekima anastahili kuwa nazo, miaka 63 sio mtoto mdogo.
 
Wapo wengi tu zaidi ya hao wawili, hatuwezi kama nchi kuzeekea kwenye siasa za uanaharakati, zinapitwa na wakati.
Upo kwa sahihi kwa mawazo yako lakini haupo sahihi kwa hali ya usalama ilivyo kwa sasa nchini


Binti aliyeuawa Lulembela wala hakuhusika na chochote kwenye maandamano lakini yeye amekuwa mhanga.

Jitathimini sana ndugu tupunguze ubinafsi
 
Upo kwa sahihi kwa mawazo yako lakini haupo sahihi kwa hali ya usalama ilivyo kwa sasa nchini


Binti aliyeuawa Lulembela wala hakuhusika na chochote kwenye maandamano lakini yeye amekuwa mhanga.

Jitathimini sana ndugu tupunguze ubinafsi
Jeshi la Polisi liliambiwa lijitathmini. Tumejaza wajinga wengi sana huko polisi. Tunadhani tunatatua tatizo la ajira kumbe linaibuka tatizo la uzito wa ujinga wa hao polisi wetu.

Wengi wao ni darasa la saba na form four division zero matukio wanayoyafanya ni kielelezo cha ujinga wanaokuwa nao vichwani mwao.
 
Nini kifanyike Ili tuondokane na mkwamo tulionao wa usalama wa raia

Huoni Ili hayo majibu utakayonijibu yatimie kunapaswa kufanyika msukumo wa wananchi kwa serikali

Au unafikili mabadiliko yatakuja tu pahali ulipo pasipo msukumo wowote

Ama utakuwa umeshazisahau aina ya serikali tulizonazo
 
Sio suala la usiku mmoja kuwa limeshafanyika. Mapinduzi ya kimtazamo yanahitajika na siku zote huchukua muda kuwa yameshafanikishwa.
 
Sio suala la usiku mmoja kuwa limeshafanyika. Mapinduzi ya kimtazamo yanahitajika na siku zote huchukua muda kuwa yameshafanikishwa.
Karibu trh 23 kwenye maandamano

Mimi sikuwahi kufikilia kuja kuwa sehemu ya siasa lakini imekuja kunilazimu mara baada ya kuguswa kwa namna moja ama nyingine na serikali kwenye maisha yangu

Ndipo nikaona umuhimu,kabla ya hapo nilikuwa bize na mihangaiko yangu kwa ajili uzeeni nisije kusumbuka

So naa wewe ukijiunga kwenye jeshi hili lenye nia ya kupata mageuzi na mabadiliko kwenye mfumo wetu wa utawala

Maana nawe ukisimama ukahesabiwa ndio ambavyo tunaweza kuyafikia mageuzi ya kimtazamo
 
 
Mwl Nyerere alisema upinzani wa Kweli utatoka ccm

And that remains very relevant… we have the weakest opposition since 2015…

Kwahiyo ni only inner pressure ndani ya can that can allow the chakadomoz to get even closer for the high table

Kwa sasa upinzani hauko Sawa
 
Maandamano hayaleti chakula mezani, kumbukeni kuhusu huo ukweli. Utapinga na mabango mikononi lakini yakimalizika taabu ipo pale pale.

Kenya wameandamana miezi miwili sasa, bado njaa ipo pale pale.
 
Mimi nimekusoma na kukuelewa vyema. Na bila shaka wewe ni mtu huru, huna upande wowote miongoni mwa vyama hivi viwili hasimu vya siasa....

Lakini kwenye falsafa yako ya Nyundo (CHADEMA) na jiwe (CCM) nikukosoe kidogo....

Kwamba jiwe halivunjwi kwa kutumia nyundo tu ambayo kwa nyundo ndogo dhidi ya jiwe kubwa (mwamba wa jiwe), ni kweli itachukua muda mrefu kuusambaratisha huo mwamba wa jiwe....

Hata hivyo siku hizi Kuna viwezeshi vingi vya kuvunja mwamba mkubwa wa njiwe kwa dakika zero tu, mfano kwa kutumia moto wa baruti....

Ndivyo ilivyo leo, huu mwamba wa jiwe CCM hauna ujanja dhidi ya moto wa baruti - CHADEMA....!!

Obviously, hili jiwe lilishasambaratika kitambo sana ktk ulimwengu wa roho, muda si mrefu kila jicho la nyama na damu litaona na kuthibitisha kwa mshangao wa kushitusha sana....
 
Uchambuzi wa Hali ya juu
 
Nimekutunuku shahada 3 kwa mpigo.
Virtually, wewe ni profesa.
 
Kinachotafutwa kwenye maandamano ni usawa katika haki

Hicho chakula ukisemacho hakiwezi patikana ikiwa mazingira ya kibiashara sio rafiki

Hata kwa mkulima haiwezekani wewe uhangaike kwenye kilimo hadi uje uvune ,ikifika wakati wa kuvuna unapangiwa bei na mtu ambaye hajui umetumia pembejeo kiasi gani au gharama kiasi gani

Mwisho huwezi kukitafuta chakula ukiwa na hofu ya maisha yako . Kenya tena ulinganishe na Tanzania utakuwa unamosea sana , ukitoa ukame Kenya vingine vyote wanatuzidi

Sijui kama unafaham matokeo chanya baada ya maandamano yale , samahani naomba unifungue ubongo kidogo kuhusu financial bill ya Tz 2024-2025 kama umeipitia au laah


Maandamano hayaleti chakula mezani, kumbukeni kuhusu huo ukweli. Utapinga na mabango mikononi lakini yakimalizika taabu ipo pale pale.

Kenya wameandamana miezi miwili sasa, bado njaa ipo pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…