Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Hivi mpenzi wa kweli utampataje. Is not a jock. Mimi ninatafuta mke wa kuoa, kila mwanamke ninayekutana naye nikimpenda huwa sivungi ninamueleza matarajio yangu kwake kuwa ninataka nimuoe na sitaki mapenzi ya kuchezeana tu. Chakushangaza wengi ukiwatangazia hilo, wanakukwepa na hawakutaki tena. Kuna msichana nimempata hivi karibuni nimetokea kumpenda, amekubali awe na mimi. Tatizo sasa ananipelekesha sana, mara nikimpigia simu anakuwa mkali, ananijibu majibu ya kunya, akisema kitu hata kama kinaniumiza yeye anaonapoa na anang'ang'ania.
Ninafanya kazi umri wangu 29 yr yeye 21 yr nina mshahara mzuri tu. Na nimemuahidi vitu vingi na vingine nime anza kutekeleza. Nisaidie hivi falsafa ya mapenzi ikoje?
Ninafanya kazi umri wangu 29 yr yeye 21 yr nina mshahara mzuri tu. Na nimemuahidi vitu vingi na vingine nime anza kutekeleza. Nisaidie hivi falsafa ya mapenzi ikoje?