Falsafa ya Mpenzi wa kweli.

Asante Bro kweli JF is the best. Nimepata faraja sana moyoni mwangu. Asante tena Mungu azidi kukupa busara hiyo
 
Mkuu umri hua ni tatizo sana kwenye mapenzi,msichana mwenye 21 bado ana mengi ya kufanya kwenye maisha yake sidhani kama anaweza kusetle kwenye ndoa..
Pia sidhani kama ni sahihi kutangaza nia ya kuoa mwanzoni mwa mahusiano wakati bado hamjajuana in and out,take time kumjua mtu kabla ya kuweka malengo..
Ukiona anakusumbua sana ujue it is neva meant to be let her go..
 
huyo dada achana nae,atakupelekesha.kwanza anavyore act hayupo tayari kuolewa huyo.
 
he ,yaan saiv mapenzi yalivyokuwa mtego,, ukifanya mchezo chupi utaava ktk kichwa,, be careful brrro, jipe muda kutafuta suitable girl for u ,,kila la kheir
 
Umejiachia kwake sana. kaisoma vibaya anaona kama vile wewe zuzu kumbe
tu umeona ndio patna wa kushare nae mambo! muoneshe upande wa pili wa shilingi
atakueshimu tu. kama humuwezi mkioana itakua kaaz kwel kwel.
 
umejaribu kumwambia vitu ambavyo vinavyokukera toka kwake?

Swali la msingi hilo!
Nina mpenzi wangu tangu mwaka 1995 - hadi sasa msingi mkuu ni kujua mambo yanayonikera.

Nachukia kudanganywa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…