Falsafa za Muafrika katika uwanja wa kalamisine etihad

Falsafa za Muafrika katika uwanja wa kalamisine etihad

KHM 1995

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
461
Reaction score
729
Falsafa ni kitu cha msingi kwa mwanadamu.

Falsafa inamtengenezea mtu platform ya kuwin challenge yoyote inayomuijia mbele yake,maana tunaamini njia bora zaidi kuishinda changamoto ni kuifata ili upambane nayo,maana ukiikimbia itabaki vile ilivyo na bado itakufukuzia kwa nyuma hadi ikupate, solution unapaswa uitatue.

Kila mwanadamu katika kila hatua moja anayopiga anapaswa kujifunza, maana system zetu zinakuwa programmed ,kila hatua tunayofanya mind zetu zinakuwa zimemark maana pindi unapotaka kufanya application ya something, hapo unarefer by experience.

Itaendelea..
 
Back
Top Bottom