CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kumbe unajua kuwa bakuli halijazwi bure,kama hamuwezi kujitegemea lazima mnyooshwe kwani hiyo mikopo ina masharti mengi mojawapo ikiwa kuheshimu haki za binadamu na utawala bora.Kwani hilo bakuli wanajaza bure bure?
Haki za binadamu kama ushoga na usagaji?Kumbe unajua kuwa bakuli halijazwi bure,kama hamuwezi kujitegemea lazima mnyooshwe kwani hiyo mikopo ina masharti mengi mojawapo ikiwa kuheshimu haki za binadamu na utawala bora.
Uwe unasoma soma. Naamini hujawahi kuiona ila sala ya wakoloni wa Tanganyika waliyoiandikwa kwa kiswahili ya kuwaombea washenzi wa Afrika.hiyo aikuwa hoja yangu, wewe umeponda "mzungu" kilichonishanganza umeponda mzungu kwa "kizungu," i.e lugha ya mzung, wakati uwezekano wa kutumia lugha yako upo, hapo ndipo nilipochoka ...
Uwe unasoma soma. Naamini hujawahi kuiona ila sala ya wakoloni wa Tanganyika waliyoiandikwa kwa kiswahili ya kuwaombea washenzi wa Afrika.
Hapo sasa kwa kuwa ni wazungu wametumia kiswahili kuwakejeli waafrika kwako haitakuwa issue. Ila issue ni mwafrika kutumia kiingereza kuwasema wazungu.
Sawa mkuuunakwenda mbali sana kufanya mambo yawe magumu bila ya sababu, nilishangaa tu mtu ambaye anaponda wazungu na kusema kwamba hawana ulazima anaandika hivyo kwa kutumia lugha ya kizungu na siyo lugha yake hapo hapo anasema kwamba wazungu siyo muhimu na siyo lazima, nimeshindwa kuelewa, hauoni kama unajipinga wewe mwenyewe? ...
Differentiate between the Misinformation, Fake information and Disinformation.confuser is confused 🤣
Kama ni uongo kweli ni mbaya sana kusambaza uongo kama mlango wa kudai haki. Huwezi kushinda haki kwa njia za uongo! Bahati mbaya hakuna reliable source ya hii taarifa mpaka sasa.Mbaya sana hizi rumors
Zinaua kabisa the little credibility ya mobali na ngai wetu
okay gentleman, the English language teacher now 🤣Differentiate between Misinformation, Fake information and Disinformation.
Ndio maana Msigwa hakusema ile ni fake information, yeye ni mwandishi wa habari anajua habari ni ya kweli but back dated sio nyie layman.