Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 473
Nimeanza na wa kwangu mkuuMbona unatoa majibu sasa? Uta bias watu!! Acha watu watoe mtazamo waoooooo!! Kwangu mie Flav overall best.
watu kwa kuangalizia majibu, kwa sababu mchangiaji wa kwanza kasema ndo wakina nani, basi waliofuata wote wanaanngalizia, kuweka mlenda na kuteleza tu
Hahaaaaa mambo ya kuweka povu la sabuni kwenye tiles na kukanyagia na ganda la ndizi,sisi tumewatukuza tunawaita vi***a
watu kwa kuangalizia majibu, kwa sababu mchangiaji wa kwanza kasema ndo wakina nani, basi waliofuata wote wanaanngalizia, kuweka mlenda na kuteleza tu
Flavi anatisha, kidoti anatapa tapa
Hao ndo wakina nani tena..
Hawa wadada wote wana public figure inayopendeza. Mimi naona Flaviana Matata amemzidi Jokate kwa vitu vingi. E.g. Exposure, muonekano katika jamii even pesa. Jokate amemzidi Flaviana Elimu, urembo kiasi labda na kashfa za "Diamond na Wema."
Je wewe kwa maoni yako unaonaje?
the word 'public figure' does not contain the defination that you exposed on top but you tried to define 'figure' as the 'physical appearence' for some how!