Familia 5 maarufu katika Hip Hop

Familia 5 maarufu katika Hip Hop

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
The Brodus
The legendary Snoop Dogg Broadus na mkewe Shante Taylor na watoto wao Cori, Cordell and Corde.
nickelodeon23rdannualkidschoiceawardsfpccmxnurwvl.jpg

The Simmons

revs5fam.jpg

Familia ya Russels Simmons

The Smiths-
article-0-0d45911a00000578-482_634x797.jpg

The Jacksons-Ice cube family
ice_cube_family_are_we_done_yet_premiere1.jpg

The harris family

ti-family.jpg
 
tuletee na za bongo!!!!!!!!!!!!
 
Du baba wengine,Snoopy na familia yake hafanani na mambo anayoyafanya,hata hivyo kuutafuta mkate kuna njia nyingi bana
 
Mbona Russels hakuna?Master P?Kama umemweka TI vipi Switz Bitz?Jay Z?lol
 
Mbona Russels hakuna?Master P?Kama umemweka TI vipi Switz Bitz?Jay Z?lol

In fact me nilidhani ni familia 5 ambazo ni influential katika hip hop so nikategemea familia ya Miller (kina Master P, Silk the Shocker, C-Murder, Lil Romeo kuwamo) familia ya mabinamu wa Wu tang cLan, familia of course ya Russels lakini kwa maana ya Pastor hapo pichani na brother wake Russel Simmons etc
 
yah mkuu.....tuwekee basi mafoto tuwaone...mie huyo Romeo simjui kama anaimba hip hop
 
Back
Top Bottom