Familia inahitaji ushauri wenu wanajf

mammamia, nahisi kama hukumu yako ya pili haiko practical vile... kila maid unayempata anakuambia mi nataka kurudi kwety umtafutie escort, mbona itakuwa kibarua? sanasana tunawapakia kwa gari na kumkabidhi konda na kuwaarifu nduguze. its very complicated kuishi na hawa watu,plans zao huwa wanazijua wenyewe! mungu tu anasaidia aisee!
 
inaonekana kwenu mlinfukuza ninyi ila hapa unajaribu kupindisha.........maana kama aliondoka kwenu na akawa anaranda mtaani nani kaja kuwapa habari za msiba?..

kwa nini mnaumia leo baada ya kuona kafariki ila wakati anaranda mtaani hamkuchukua jukumu la kumuuliza na pia kumsafirisha hadi kwao?

familia yenu/yako inahitaji lawama na hukumu... na hii tabia iko kwa familia nyingi sana nimeziona huko Tanzania....kuna mtu nae alikuwa anakaa na mtot wa watu yule binti akafariki...ile kurudisha maiti wazazi waliikataa na ikawekwa uwanjani(uwanja wa mpira) walikaa nayo hapo kwa siku kama 4 hivi mpaka mkuu wa wilaya akaja...kuwasihi wazazi wa marehemu lakini bado walikataa...
 
nikweli kwamba aliondoka kwa hiari yake,hata hivyo alikuwa ni kijana mkubwa tu kama miaka 32 hivyo swala la kumpeleka hadi kwao lilikua gumu,hata ivyo kama hakutaka kwenda ingekua ngumu kumkamata kumrudisha kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…