Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahahaha umetisha mkuu, sema kwa experience yangu ikifika scene ya hvo ni mmoja kuondoka kimyakimya [aliye mdogo] au wote mnakausha kimya kama hamjaona kitu vile..*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaahaha*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo option ya pili ndo yenyewe .....hahahahahahaha umetisha mkuu, sema kwa experience yangu ikifika scene ya hvo ni mmoja kuondoka kimyakimya [aliye mdogo] au wote mnakausha kimya kama hamjaona kitu vile..
kwetu sisi utakuta mzee anaifokea tivi kwa hasira utaskia "watu hofu ya mungu hawana kabisa, hebu wekeni taarifa ya habari, huu ushetwani utatupeleka motoni huu"*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaa haaaa ujue hapo dingi kaishiwa mbinu za kivita .......kwetu sisi utakuta mzee anaifokea tivi kwa hasira utaskia "watu hofu ya mungu hawana kabisa, hebu wekeni taarifa ya habari, huu ushetwani utatupeleka motoni huu"