Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Waliotekwa na kupotea Waitwa kwenye Ofisi za CHADEMA Mikocheni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tangazo la Meya Mstaafu wa Ubungo hili hapa, Ukisoma Waambie na wengine waliopotelewa na jamaa zao

Screenshot_2024-08-22-00-33-33-1.png
 
Nina swali dogo kama siyo kubwa, nilisoma kwenye tweet yake yule kijana wenu SOKA akisema atatekwa na kweli katekwa!.

Nyie kama chama mlichukua hatua gani hapo kabla ma baada ya kutwekwa hiyo kijana?.
 
Hakusema atatekwa bali alisema anafuatiliwa so alitoa tahadhari na sio taarifa. Ukisoma unatakiwa uwe unaelewa.
 
..Tatizo wanakamatwa / wanatekwa na vyombo vya ulinzi na usalama.

..Mwananchi hawezi kugoma kukamatwa na vyombo vya usalama.

..Tatizo ni nini kinatokea baada ya mwananchi kukamatwa.

..Mfano mzuri na jinsi Sativa alivyotekwa na kumshikilia ktk vituo vya Polisi vya Oysterbay na Arusha.

..Baada ya kutolewa ktk vituo vya Polisi alipelekwa porini na kupigwa risasi.

..Mpaka sasa hivi serikali haijachukua hatua yoyote, kwasababu wanafahamu kwamba, waliomteka, na kumpiga risasi Sativa, ni watu wao.
 
Hakika
 
Kwa kweli ni vigumu sana kuamini kwamba mambo haya yanatokea nchini humu, na watu wametulizana kabisa kana kwamba hakuna jambo baya linalofanyika nchini mwao. Wote tume'paralyze' kabisa, sijui kwa woga, au kutojali?
 
..sijui kwanini suala la Sativa halijapewa uzito linaostahili. Lakini kwa maelezo yake waliojaribu kumuua ni watu wa serikali.

..Sativa anadai alitolewa ktk mahabusu ya jeshi la Polisi akapelekwa porini akateswa, akapelekwa eneo lingine akapigwa risasi.

..Kwa maana nyingine rahisi kuwatambua waliomteka na kujaribu kumuua.

..Kwanza, wameacha ushahidi wa mlolongo mrefu wa mawasiliano ya simu baina yao na jamaa zake Sativa.

..Pili, wameacha ushahidi mwingine ktk vituo vya Polisi ambako Sativa alishikiliwa. Sativa aliingizwa na kutolewa na nani ktk vituo vya Polisi? Je, raia wa kawaida anaweza kufanya hivyo?
 
Mikono ya Maza imejaa damu. Inawezekana jinsi la Kizimkazi linapenda damu za Watanganyika.
 
Kwa kweli ni vigumu sana kuamini kwamba mambo haya yanatokea nchini humu, na watu wametulizana kabisa kana kwamba hakuna jambo baya linalofanyika nchini mwao. Wote tume'paralyze' kabisa, sijui kwa woga, au kutojali?
Inasikitisha sana. Lakini si umesikia lwo Lamada huko Geita?
 
..sijui kwanini suala la Sativa halijapewa uzito linaostahili. Lakini kwa maelezo yake waliojaribu kumuua ni watu wa serikali.

..Sativa anadai alitolewa ktk mahabusu ya jeshi la Polisi akapelekwa porini akateswa, akapelekwa eneo lingine akapigwa risasi.

..Kwa maana nyingine rahisi kuwatambua waliomteka na kujaribu kumuua.

..Kwanza, wameacha ushahidi wa mlolongo mrefu wa mawasiliano ya simu baina yao na jamaa zake Sativa.

..Pili, wameacha ushahidi mwingine ktk vituo vya Polisi ambako Sativa alishikiliwa. Sativa aliingizwa na kutolewa na nani ktk vituo vya Polisi? Je, raia wa kawaida anaweza kufanya hivyo?
Kama wanaoenda hivyo miti mibichi na mikavu je?.
Rejea shambulizi la Lissu.
 
Hakusema atatekwa bali alisema anafuatiliwa so alitoa tahadhari na sio taarifa. Ukisoma unatakiwa uwe unaelewa.
Mvumilie, hilo ni tatizo la unyonge unaomfanya mtu afurahie kuitwa chawa. Hata hivyo jibu lako hata lisoma kwani kutwa nzima anasikiliza uchambuzi wa mpira.
 
Nina swali dogo kama siyo kubwa, nilisoma kwenye tweet yake yule kijana wenu SOKA akisema atatekwa na kweli katekwa!.

Nyie kama chama mlichukua hatua gani hapo kabla ma baada ya kutwekwa hiyo kijana?.
Kwani polis walichukua hatua gani maana jukumu namba moja la polis ni kulinda raia na Mali zao.
 
Back
Top Bottom