Familia nyingine ya weusi yadai mtoto wao ni mzungu!

Familia nyingine ya weusi yadai mtoto wao ni mzungu!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Mtoto mwingine mwenye fair haired,green eyed aliyezaliwa na wazazi weusi <?xml:namespace prefix = st1 ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice:smarttags" /><st1:country-region><st1😛lace>U.K.</st1😛lace></st1:country-region><?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
<o😛></o😛>
Emmanuel Ofor kama ilivyo Nmachi(nimemweka kwenye thread nyingine) aliyezaliawa siku chache zilizopita,wazazi wake awajaweza kupata jibu mpaka sasa hivi kwa zaidi ya miaka mitatu kwa nini mtoto wao amezaliwa hivyo.
<o😛></o😛>
Mtoto Nmachi nywele zake za kizungu kabisa lakini Huyu Emmanuel namwona <st1😛lace>kama</st1😛lace> Albino ingawa wamesema siyo au ndiyo kutafuta fifteen minutes of fame au pesa?
<o😛></o😛>
Wazazi wa familia zote mbili wametokea Nageria, kama Emmanuel naye ni mzungu kuna nini huko?

<o😛></o😛>
<o😛></o😛>
b.jpg


Habari zaidi unaweza kupata kwenye hii link:White toddler Emmanuel Ofor has black parents | The Sun |News
 
babu M,
Huyo ni albino mwangalie vizuri. Tena anafanana na baba yake.
 
Back
Top Bottom