Familia nyingine ya weusi yadai mtoto wao ni mzungu!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Mtoto mwingine mwenye fair haired,green eyed aliyezaliwa na wazazi weusi <?xml:namespace prefix = st1 ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice:smarttags" /><st1:country-region><st1πŸ˜›lace>U.K.</st1πŸ˜›lace></st1:country-region><?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><oπŸ˜›></oπŸ˜›>
<oπŸ˜›></oπŸ˜›>
Emmanuel Ofor kama ilivyo Nmachi(nimemweka kwenye thread nyingine) aliyezaliawa siku chache zilizopita,wazazi wake awajaweza kupata jibu mpaka sasa hivi kwa zaidi ya miaka mitatu kwa nini mtoto wao amezaliwa hivyo.
<oπŸ˜›></oπŸ˜›>
Mtoto Nmachi nywele zake za kizungu kabisa lakini Huyu Emmanuel namwona <st1πŸ˜›lace>kama</st1πŸ˜›lace> Albino ingawa wamesema siyo au ndiyo kutafuta fifteen minutes of fame au pesa?
<oπŸ˜›></oπŸ˜›>
Wazazi wa familia zote mbili wametokea Nageria, kama Emmanuel naye ni mzungu kuna nini huko?

<oπŸ˜›></oπŸ˜›>
<oπŸ˜›></oπŸ˜›>


Habari zaidi unaweza kupata kwenye hii link:White toddler Emmanuel Ofor has black parents | The Sun |News
 
babu M,
Huyo ni albino mwangalie vizuri. Tena anafanana na baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…