Familia nzima kuwashwa mwilini

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
123
Reaction score
78
Wadau,

Mimi na familia yangu ya watu wanne kwa muda wa wiki tatu sasa tumekuwa na tatizo la kuwashwa mwilini . naomba msaada wa kunijuza nini inaweza ikawa sababu ya tatizo hili na kwa nini litukumbe sote.

Shukrani
 
Huo mwasho ni baada ya kuoga? Na ni sehem gani ya mwili?
 
itakuwa mlikula chakula flani ambacho si kizuri labda nyama pori ama uyoga

au kuna wahuni wamewategeshea upupu kwenye dirisha upepo ukipita unafanya muwashwe
 
Sehemu mbalimbali za mwili, kuwashwa kunatokea nyakati zote kabla na baada ya kuoga
Tumia scobama lotion Mara mbili kwa siku baada ya kuoga. Hakikisha nguo zote unafua na maji ya moto. 2weeks tatizo litakuwa limeisha. Lisipo isha nitafute 0762411561.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…