NdioKwa hiyo wanakaa na mzoga tu kwenye friji?
Sahihi.Umefurahi?Kwa hiyo wanakaa na mzoga tu kwenye friji?
Tuliza mshono bibiye,mtu akifa kinachofuata ni kuzikwa tu.Sahihi.Umefurahi?
Kila ukiona id usiyoijua unamkumbuka mama yako mzazi?Jinga wewe.Jifunze kuheshimu hisia za wafiwa.Nioko gunio!Tuliza mshono bibiye,mtu akifa kinachofuata ni kuzikwa tu.
Wewe ndiyo mfiwa?Acha kujipendekeza bidada.B
Kila ukiona id usiyoijua unamkumbuka mama yako mzazi?Jinga wewe.Jifunze kuheshimu hisia za wafiwa.Nioko gunio!
Bidada ukimuita baba yako mjingamjinga kama wewe sperms zake si mbaya.Wewe ndiyo mfiwa?Acha kujipendekeza bidada.
kwan hamuwezi kudai hio haki mkishamzika?Sahihi.Umefurahi?
Mwangi hajaenda kupiga show huko?Baba wa marehemu Albert Omondi Ojwang’, Meshack Ojwang’, amesema kuwa familia inaendelea kuzingatia kumsafirisha mtoto wao mahali pa mwisho pekee tu baada ya kuthibitishwa kuwa haki imekamilika.
Bw. Ojwang’ asema kuwa hakuna maandalizi ya mazishi yaliyopangwa kwa sasa, kwani familia inajitolea kusaka uwajibikaji kabla ya kuendelea na mazishi.
“Sijaweka tarehe ya mazishi. Kama familia, tunaamini kuwa Albert afe kwa amani pale tu watakaobeba lawama kwa kifo chake watakapotambuliwa vizuri na kushtakiwa mfano wa haki. Ni wakati huo tu roho yake itapata amani, na tutakuwa tayari kumuaga kimazishi,” amesema Baba wa Albert Owjeng'
Bw. Ojwang’ pia amewaomba wadau na mashabiki kutoa msaada ili familia iweze kumpa Albert mazishi yenye heshima.
View attachment 3372850
Chanzo:Buzzroomkenya
Unawachagulia muda wa madai Kwani wao ni Watanzania wenye kadi za CCM?kwan hamuwezi kudai hio haki mkishamzika?
🖕Tuliza mshono bibiye,mtu akifa kinachofuata ni kuzikwa tu.
Sibure wewe utakuwa ndiyo Mjane wa bwana OjwangBidada ukimuita baba yako mjingamjinga kama wewe sperms zake si mbaya.
Kwako ni mzoga kwao ni mkombozi na shujaa kupitia damu yake watu waovu wanaenda kuaibika na kupata iliyo haki si ajabu wenye mamlaka wakaogopa kufanya tena tukio kama hilo huko kenya.Kwa hiyo wanakaa na mzoga tu kwenye friji?
Anatafuta kung'ongonolewa mabaki ya chembechembe za ugali chooni huyo.Atakusababishia kesi ya kumfukua.
kiburi cha uzima naona kinakusumbuaKwa hiyo wanakaa na mzoga tu kwenye friji?
Kifo ni lazima kwa kila mtu utake usitake we shogakiburi cha uzima naona kinakusumbua
Kifo ni lazima haijaalishi umekufajeKwako ni mzoga kwao ni mkombozi na shujaa kupitia damu yake watu waovu wanaenda kuaibika na kupata iliyo haki si ajabu wenye mamlaka wakaogopa kufanya tena tukio kama hilo huko kenya.
🤣🤣🤣 DahSibure wewe utakuwa ndiyo Mjane wa bwana Ojwang