Habari wadau..
Diamond Plutnumz japo hajaenda sana shule ila ndio smart boy kulilo wote niliowahi kuwaona Tanzania.
Amekulia Tandale na amekuwa bilionea bila kumuibia mtu, kula rushwa wala kumtapeli mtu..
Ametumia advantage ya watanzania kupenda umbea na nyimbo nzuri kutajirika.
Na katika hiyo safari yake hakuwasahau ndugu zake na familia yake pia. Amewafanya wale raha na bata kwa kuwapa umbea umbea watanzania..
Binafsi ninaamini kila wanachofanya kina Diamond ni planned.
Diamond hata kutongoza hatongozi tu kisa wewe mrembo au mzuri sana. Anakutongoza sababu una swaga za kuongelewa na wambea wambea maana ni hela unaleta. Hata kama anakuhonga mwanamke wake anazirudisha kiurahisi tu..
Fikiria jana tu youtube ameingiza bei gani, huku event ikiwa live Wasafi Tv matangazo kibao na leo siku nzima watu wanamuongelea yeye tu.
Umbea wa wa Tanzania ndio umemtajirisha Erick Shigongo enzi hakuna mitandao. Ameuza sana magazeti ya udaku ijumaa na uwazi kwa habari za umbea umbea tu.
Sasa Diamond anaufanya kwa zama za mitandao kisasa zaidi.
Na anapiga pesa kweli kweli.
Mimi ninapenda mama yake, baba yake, dada zake wote wanamsaidia kuleta hela..
Wasafi tv imeanza juzi tu ila ina matangazo kuliko tv zilizoanza miaka kibao na zingine zinafirisika sababu hazina umbea wa kuvutia watazamaji na makampuni yapeleke matangazo.
Big up sana Diamond