Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Naelewa familia kukaa kimya - lakini sielewi inakuaje Mama naye akae kimya wakati ni yeye alikuwa makamo wake. Au alikuwa anatudanganya?
 
Naelewa familia kukaa kimya - lakini sielewi inakuaje Mama naye akae kimya wakati ni yeye alikuwa makamo wake. Au alikuwa anatudanganya?
Kwenye hili la Rais kukaa kimya una hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…