Familia ya Kenyatta kununua bank Rwanda...

Siasa inalipa barani africa, ni biashara nzuri sana, hata wazungu huko ulaya wameistukia hii biashara.....sasa wafanyabiashara wakubwa wana kimbilia kwenye siasa.

Sio ajabu ukute Chenge akawa na Mkwanga kuliko Mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…