Familia ya marehemu Robert Mushi imetoa Shukrani kwa Umma wa Watanzania kwa kupaza sauti Kwenye Mitandao ya Kijamii!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Familia ya marehemu Robert Mushi imetoa Shukrani kwa Umma wa Watanzania kwa kupaza sauti Kwenye Mitandao ya Kijamii ina kufanikisha na kufanikiwa kuuona mwili wa ndugu yao aliyepotea ghafla

Source: Mwananchi

Pia soma

- Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?
- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi
- Utata sakata la ndugu wa Boniface Jacob: Kupotea mpaka kukutwa mochwari ya polisi, Amana wapigilia msumari!
 
RIP Magufuli, ulisingiziwa sana.
Mwenyekiti wa uvccm kagera aliwaambia polisi kwamba wale wanaomtukana na kukashifu rais wakipotea polisi wasiwatafute
Kwa tafsiri rahisi watawateka na kuwapoteza.
 
Hivi kweli hii nchi una risk maisha yako kuwapambania Watanzania wajinga...
 
Nchi hii ukifikiria sana.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…