Singoi
Senior Member
- Jun 13, 2011
- 156
- 24
Familia ya mchungaji Obedi kimati inavurugana kisa mashamba alio acha baba Yao baada ya kufariki wameshindwa kugawana kutokana na tamaa ya mkubwa mmoja kuyatawala yye peke yake na kutotaka wengine wadogo wapate mashamba hayo, jambo la hatari hili Kwa mtazamo wakawaida