Familia ya Obama yatangaza kufiwa na Mbwa wao aliyejulikana kwa jina la Bo

Dunia iko busy na Middle East,CNN wako busy kutangaza kifo cha mbwa,,,..really!!!! πŸ˜€ πŸ˜€
Mbwa kwao ni zaidi ya waanga wa Middle East wao wasubili vyakula vya m wale. πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Amani Amani Amani ni zawadi iliyo kuu kutoka kwa Mungu,la sivyo pasingelikuwepo na utu wa mtu.
 
Wameadvance sana kama wamefikia ngazi ya kununulia mbwa picha za ukutani na hata midoli ya kuchezea, wakati huku tunawala mbwa!!! Sijui sisi tutafika lini huko
Bongo njaa tunatafuna kila kitu huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]niliwahi kwenda mkoa flani watu wa huko wanaongoza kwa kula supu ya ngozi kiasi kwamba walishaiba mpaka ngoma za shule wanatoa zile ngozi wanaenda kutengeneza supu[emoji3][emoji1787]
 
Huku Bongo watu wanafuga mijibwa koko hawana budget ya chakula inabidi jibwa lizurule mitaani kujitafutia chakula linaishia kula mavi ya walevi na kondom zilizotumika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Midoli yote ya mwendazake BO, ningependa ipewe huyu hustler, analeta issue sababu ana Kaka Simba tu... Dadeq! 🀣 🀣 🀣🀣 🀣 🀣 #DonateBoDollsToAfricanPussy

 
Duh, hivi itakuwa hakuna wachezaji ngoma huko, msosi huo? πŸ™„πŸ€£πŸ€£
 
🀣 πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…