Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa sana, familia imetulia.
Ab-Titchaz inaonekana umemzimia mtoto. Huyu hapiti labda kwa ncha ya upanga
Rafiki Ab-Titchaz, mbona waleta picha reja reja?? Wenzio tulifikiri ndiyo mambo ya uzazi wa mpango, wana huyo mtoto mmoja tu, kumbe wana watoto wawili, asante kwa update. Ok familia inazidi kuwa poa sana.
Tunaishia kunawa tu...lol
Peter Keneth ni mjaluo? Mbona inefanana na Obama?
Tunaishia kunawa tu...lol
Huyo wa Mwisho aliyevaa zebra Dress........
Hahahaha! Hata mie roho yangu kidogo ingemdhondhokea! Mzima Ben Saanane?