Familia ya Peter Kenneth...mtoto wa kike si haba!

Rafiki Ab-Titchaz, mbona waleta picha reja reja?? Wenzio tulifikiri ndiyo mambo ya uzazi wa mpango, wana huyo mtoto mmoja tu, kumbe wana watoto wawili, asante kwa update. Ok familia inazidi kuwa poa sana.
 
Samahani kwa usumbufu...lol!

Familia nadhani ni hao watoto wawili kando na kumhusisha baba na mama.
 
Nyani Ngabu na ndetichia; i need a friend desperately right now right here! bht naomba usije. Nakudediketia wimbo:
ukisikia nimekufa usiwekemsiba. Ila sherehekea kwa sababu una roho mbaya! Weeh mubayaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Peter Keneth ni mjaluo? Mbona inefanana na Obama?
 
Mtoto wa kike wa Uhuru nae si haba nilimuona kwenye mdaharo aliongozana na mama na kaka yake ,naona naye kama binti wa PK ni kama nusu mthungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…