Familia ya Profesa Mwesiga Baregu, wasilianeni na WIKIPEDIA warekebisha tarehe ya kifo cha Profesa Baregu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Leo katikati pitapita zangu mtandaoni, nilikutana na habari fulani kuhusu Profesa Baregu na nikaona niingie WIKIPEDIA labda naweza kupata taarifa zaidi.

Hata hivyo, baada ya kuingia licha ya kutopata maelezo mengi, bali nimegundua WIKIPEDIA wametoa taarifa isiyo sahihi kuhusu tarehe aliyofariki.

Taarifa zilizopo zinaonyesha Marehemu Profesa Mwesiga Baregu, alifariki June 13, 2021 wakati WIKIPEDIA katikati maelezo yao kumuhusu Profesa Baregu, wameandika alifariki Oktoba 31, 2022.

Hivyo, wanafamilia au mtu mwingine yoyote mwenye nafasi au mamlaka awasiliane na WIKIPEDIA ili warekebishe taarifa yao.

Mara ya mwisho taarifa kuhusu Profesa Baregu katikati WIKIPEDIA ilifanyiwa marejesho miezi 6 iliyopita.

Kama sikosei, WIKIPEDIA huwa wanapokea taarifa zozote zinazoweza kubopesha taarifa kuhusu jambo lolote waliloliandika.

Ni muhimu sana.
 
Kila user ana edit mbona...ili changes iwe credible unahitaji proof/citation
 
Ni kipindi kile cha COVID-19?
 
Back
Top Bottom