thaman yake ni kubwa kuliko hivyo anavyoomba kama wimbo mmoja tu wa Sungura wametumia zaid ya mill 42 anashindaje kumnunulia nyumba ya thaman hiyo?hata hivyo anavyovidai apewe sizan kama anathaman hyo kwa ss...akubali matokeo.....ushaur wang kilimo kinalipa akajalibu ila sio mziki
hata hivyo anavyovidai apewe sizan kama anathaman hyo kwa ss...akubali matokeo.....ushaur wang kilimo kinalipa akajalibu ila sio mziki
Umeonaee jamaaa majivuno mengi sana alafu wala hama hit song yoyote miaka ya hivi karibuniNilimwona fnl qchief ana nyodo aisee.
Inabidi apunguze nyodo otherwise ita mcost
Sana mkuu itakuwa ngumu kufanya kazi na management yoyote.Umeonaee jamaaa majivuno mengi sana alafu wala hama hit song yoyote miaka ya hivi karibuni
Unamfahamu Fally Ipupa.... Unamfahamu hayati Lucky Dube .... Kasome wasifu waoHujanielewa au umekurupuka...nimesema kuwa ni wachache wanaotokea "from scratch", mojawapo Diamond na huyo Wizkid....asilimia 90 ni walioingia kwenye muziki sio kwasababu ya njaa....MWENYE NACHO HUONGEZEWA.
Sijui unamaanisha nini hapa, thamani hiyo umeipima vipi? Kama wametumia hiyo zaidi ya 42mil lazima ujiulize hiyo pesa imerudi? yaani niwekeze 42 mil alafu nikuzawadie Gari na Nyumba juu hata kama pesa niliyowekeza haijarudi?thaman yake ni kubwa kuliko hivyo anavyoomba kama wimbo mmoja tu wa Sungura wametumia zaid ya mill 42 anashindaje kumnunulia nyumba ya thaman hiyo?
Aisee ht mimi niliona.. ana dharau htr..soon atarudia maunga si kwa mastress yale..pesa hana..na hakuna mtu wa maana atakaye mpokea mana anaonekana kimeo...yeye na tid ni jeuri sanaNilimwona fnl qchief ana nyodo aisee.
Inabidi apunguze nyodo otherwise ita mcost
Yani ana dharau na inaelekea ni limbukeni kwanza kitendo cha kumkana obama kuwa hamfahamu inaelekea jamaa limbukeni.Aisee ht mimi niliona.. ana dharau htr..soon atarudia maunga si kwa mastress yale..pesa hana..na hakuna mtu wa maana atakaye mpokea mana anaonekana kimeo...yeye na tid ni jeuri sana
Sure nahisi kuna sehemu kaitwa itakuwa kahaidiwa more.kwa namna Obama alivyoeleza yaonyesha Q Chilla aliutaka huo mkataba wa maisha yeye mwenyewe, sasa kuna kila dalili kuna Label inamtaka baada ya kumuona anang'aa sasa,ndipo hapo Obama anaposema Q chief anaota mapembe ila kijana akae na Manager wake waelewane maana asiache mbachao kwa msala upitao,anaweza akakimbilia 2 wakati Moja hajaimaliza ipo siku atarudi sifuri asielewe pa kwenda na wa kumgeukia