Ndo hivyo mkuu watu huwa hatukumbuki kwa mazuri kule tulikotoka ila tunakutazama tunapokwenda kama paradiso, tubasahau kwamba huko nako tutawakuta wanaadam ambao ni sawa na wale tuliowaachaSure nahisi kuna sehemu kaitwa itakuwa kahaidiwa more.
Sema basi asingeondoka kwa kudiss maana qchief alikuwa kapotea mazima kwenye game akabaki kulia lia kila siku
Unajidanganya na madesa yako sio? What you have affixed your signature you can not go against it claiming your mind was not thereAna uwezo wa kuupinga mahakamani kama walimrubun kuusain, au kama hakuuelewa...kaz ni kwake unatenguliwa tu