DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mama Salma Kikwete na Miraji Kikwete bring back our money...

Nyie ni laana katika nchi..
Muone huyu nae... mleta mada kasema Salama, wewe unasema Salma kuonesha kwamba ulikuwa tayari kuamini jina lolote ambalo lingewekwa kwenye hiyo habari!
 
wabunge wataka iundwe kamati ishulikie kashfa ya escrow.....washaoma swrikali inagwayagwaya kuwasilisha report
 
Hi Lukindo
You are very right!
thank you for your contribution!

Siku ya nne inaingia hii scandal haijakanushwa "officially" what is cooking!!!?.
Yerico ametaja "numbers", majina, bado tunataka evidence!

tuache uvivu takukuru can do this is one day, contact their counterparts in Australia, then can get information in one day, Shareholding ya hiyo company etc

very simple!!!! This is crime. Hamna protection hapo. Australia is not a banana republic.
 

You sound great! Umetumia akili kuliwaza hilo. Thanks.
 
Muone huyu nae... mleta mada kasema Salama, wewe unasema Salma kuonesha kwamba ulikuwa tayari kuamini jina lolote ambalo lingewekwa kwenye hiyo habari!

Ookey bwana miraj tumekusoma utetezi wako sasa na salama basi tia neno basi mwanawani tukusikiee halafu albert upo miss u bro nakuaminia sana salute
 
Ookey bwana miraj tumekusoma utetezi wako sasa na salama basi tia neno basi mwanawani tukusikiee halafu albert upo miss u bro nakuaminia sana salute
Na wewe ndo unaongea nini hapa!!! mara miraji, mara albert; we vipi???
 
Huwa siku zote sitolei macho kinachotoka kinywani mwa yericko msambila.

Tokea siku kamkana mzaz wake naliona kama lina laana hivi.

Chizi karogwa tena.
 
Huwa siku zote sitolei macho kinachotoka kinywani mwa yericko msambila.

Tokea siku kamkana mzaz wake naliona kama lina laana hivi.

Chizi karogwa tena.

Alaa kumbe ni Yericko Msambila?
 

Wewe hata ukawa na dumia nzima ikawa yako kama kazi kupiga domo na porojo utakuwa masikini maisha. Jutumeni mufanye kazi .watu wana plan thier future wana malengo ndio maana ukaina ni matajiri.
Hata huko marekani kunako uchumi namba moja kuna masikini omba omba.
Badilikeni kidigo jiwekeeni malengo fanyeni kazi wacheni majungu mtapata utajiri.gas na madini hayakuingizii pesa mfukoni bure mawazo ya vijiweni
 
Ukweli suala la IPTL ni vita ya mashirika ya kibepari kutishika kuona hawa jamaa wameazimia kuwauzia umeme Tanesco kwa bei ya chini sana.
Hii vita ya gas na mafuta. Makampuni ya kibepari ya gas na mafuta ni ya kimafia yanatumia mbinu chafu na za kutunga ili kuhakikisha hakuna mtu binafsi au makapuni ya nchi za South wanapata tenda za miradi mikubwa ya uzalishaji umeme na gas Tanzania.
Wiki ilopita walidiriki hata kumfachafua Rais wa china ati ndege yake imepakia pembe za Tembo.
Hizi kampuni za kimafia pia wanatumia Rushwa kuwahonga baadhi ya wana siasa wa upinxani kuleta fitina na shutuma dhidi ya kampuni yoyote ile inayo hatarisha maslahi yao .
Tayari madalali wa ma kimafia wapo kazini kuhakikisha IPTL ina sulubiwa na hatimaye isitishwe kuzalisha umeme rahisi na mwisho wa siku wata inunua wao mitambo kama walivofanya katika suala la Richmond na Dowans.
Moja ya mambo ambayo Serikali na CAG TISS pamoja na Takakuru inapaswa kuangalia ni mwenendo wa wana siasa wa upinzani mahusiano yao na makampuni ya kibepari ya kimafia.
Wapo wanao tumiwa kuyumbisha uchumi wa nchi aidha bila ya kujijua au kwa kupewa rushwa hivyo vyombo vyetu viende mbali zaidi kuwa chunguza ikiwezekana maongezi yao yote ya simu na internet na nani wanakutana nao.
Ikumbukwe balozi wa uingereza ndie alie chochea suala kusitishwa misaada kwa vile kuna bank yao ya kimafia ya Standard chartered katika mkataba wa IPTL hivyo wao walitaka hizo fedha walipwe wao. Sio kuwa hazistahili kulipwa bali wangepewa standard chartered kulipa deni.huku ikijua deni hulipwa kwa mujibu wa mkataba.
Hivyo hizi fedha wangepewa benki hii ya kifree mason bas kusingekuwa na wizi wala kusingekuwa na ku stop misaada.
Tuwe makini na vitimba kwiri vinao weza kuvuruga amani kwenye masuala ya uchumi wa mafuta na gas.
Mataifa ya kimafia hayalali na kuona hizi tenda wakipata wengine hivyo TISS amkeni kidogo badilisheni mwelekeo nchi inapoingia kwenye biashara hizi kuna futna nyingi zinafanywa ni wajibu wenu kufatilia kwa undani nyendo za wanasiasa na wafanya biashara kuhakikisha yoyote anaetumiwa na kupewa rushwa kulete longo longo ana kuwa exposed. Tusingoje mpaka ikawa too late. Juweni uchumi wa huu wa mafuta na gas unaleta vita TISs kuweni macho.
Pamoja nao hawa wote wanao leta hizi choko choko za iptl wachunguzwe wanatumiwa na nani haswa mpaka kufikia hatua kuzua zua na kuipaka matope familia na Rais .
TISS mnao wajibu mkubwa kulinda usalama wa nchii wakati huu wa uchumi wa gas na mafuta mafia gangs zipo na zina pesa na mitandao waki tayari hata kufadhili vikundi vya fujo.
Iptl hela yao wamelipwa full stop
 
Huwa siku zote sitolei macho kinachotoka kinywani mwa yericko msambila.

Tokea siku kamkana mzaz wake naliona kama lina laana hivi.

Chizi karogwa tena.
ulikosea kutumia id hii, big show ana busara sana!
 
wajiandae.tutataifisha hadi yale maghorofa ya kigamboni ambay ndio yanaanza kujengwa.
 

Mknd wako
 

Duh! Yani inteligensia yako kali kuliko TISS?! We noma kweli. Haya wamekusikia watafanyia kazi maagizo yako.

Hata hivyo Prof Muongo kasema wote wanaojadili suala la IPTL na ESCROW ni WAJINGA!
 
Duh! Yani inteligensia yako kali kuliko TISS?! We noma kweli. Haya wamekusikia watafanyia kazi maagizo yako.

Hata hivyo Prof Muongo kasema wote wanaojadili suala la IPTL na ESCROW ni WAJINGA!

Siku zote Mhongo hutuona sisi ni wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…