DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yericko Nyerere tangu awe mmoja wa washiriki wa kumpokea Mheshimiwa sana Waziri Mkuu mstaafu na kipenzi cha UKAWA miaka yote tangu akiwa ccm ndugu Edward Lowasa haandiki tena ama ameacha kuwa investigative journalist
 
Haya maandishi Chadema hawawezi kuyarudia ....nina uhakika!!
 
Hivi Huyo aliyekuwa katibu wa rais Mbena ndio Nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…