Na Samia naye anaendekeza uuaji na utekaji, inawezekana alikuwa pembeni wakati mzee Ali Kibao anateswa na kuuawa. Maana kimya hadi leo hakuna taarifa, aliuawa ndugu wa mwenyekiti wa CCM mkoa fulani kesho yake watuhumiwa wamekamatwaNiliandika mara nyingi sana humu kuwa Magufuli ni muuaji. Chawa wake mkawa mnatukana.
Sasa badala ya kuandika uzi (thread) kimeandikwa kitabu.
Nakazia: Magufuli ni muuaji, mporaji na mekaji.
Sasa na huyu aliyepora uchaguzi wa 2024 na kuwaua akina Ali Kibao naye vipi, afe akakutane na aliyemfundisha ukatili nini?Mtu aliyepora uchaguzi nchi nzima ashindwe kufanya kitu km hiko… tatizo jiwe alikuwa na mihemko na hapendi kukosolewa.!!
Muhimu wote wamekufa wahukumiane huko huko walipo.!! Sijui alishapewa uongozi wa kuongoza malaika 🤣
Ikulu ndiyo ijibu hili. Ikikaa kimya maana yake inakubalina na Mwandishi. Hivyo, Italazika kuwajibika. Sidhani kama serikali yetu pendwa na Makini itakubali kupakwa matope.Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
Leta ushaidi la sivyo Kwa vi jisheria ulivyotaja apo juu Familia ya Mbowe ikuburuze mahakani.Mbowe.
Punguza bangi basi hebu utavaa chupi kichwaniNdugu Kabendera ni mtu wa ajabu sana....
Sisi ni waafrika....watanzania...wajamaa.....
Kamwe huwezi kumchafua KIONGOZI WETU MKUBWA KABISA kwa sababu ya maslahi yako KOKO ya nchi za nje na maadui wa Tanzania yetu na TURATHI ZAKE......
#Nchi Kwanza kwa njia yoyote ile.
#Viongozi wakuu wa taifa ni tunu yetu.
#Sisi ni waafrika ,sisi ni wajamaa wa Afrika.
Watu wanadanganywa na macho yake, mama balaa YuleSaa100 ni mkatili kuliko JPM trust me!
Punguza bangi kesi ipi ambayo Lissu alishitakiwa kwa kutoa tuhuma za uongo? Mkivuta bangi zenu mkajiona mko New York basi unaona kesi Lissu kashitakiwaLissu anaporoka hana ushahidi. Cha ajabu hajawahi kukutwa na hatia mara zote anazopelekwa mahakamani.
Ropoka na wewe uone.
Ila hapa siyo mahala pake, fanatism haina nafasi kwenye jamii secular hususan humu jukwaani. Mnakaribisha kashfa, kejeli na matusi tu kwa imani zenu. Ni ujuha mtupuSasa kwa nini hili jawabu usingelitoa tangu mwanzo?
Mambo mengine kutukanwa kwa Mtume na dini yetu tunasababisha sisi wenyewe waislamu.
Mtu akikuuliza swali kama unalojibu toa jawabu na kama hauna mwambie nipe muda nitakujibu kuna majambo nayashughulikia kwanza ili uende ukatafute majibu ya uhakika.
Kwa nini isiwe serikali kushtaki kwa kuwa mwisho ni serikali nzima ya Magufuli itahusishwa na mauaji ya watu wengi waliopotea!Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Naunga mkono hojaKumsafisha Magufuli ni ngumu sana!
Kama ilivyo kwa sasa hivi kwa mambo yanayotokea kumsafisha mama ni ngumu kwa sababu maswali hayatolewi majibu (kucheleweshwa kwa haki). Jawabu la moja kwa moja ni yeye kiongozi ndiye anahusika.
Malipo ni hapa hapa, km naye kahusika atapata ujira wake..!!Sasa na huyu aliyepora uchaguzi wa 2024 na kuwaua akina Ali Kibao naye vipi, afe akakutane na aliyemfundisha ukatili nini?
Is icon kwa wapuuzi wanaovutiwa na ukatili, mimi ni mtanzania lakini simpendi na ninawajua wengi wasiompenda huyo muuaji wenu.Nyani Ngabu nahisi kabendera atakuwa anatafuta ukimbizi. Maana alichokiandika ni hatari sana kwake na famili yake. Kitamgharimu sana kizazi chake. Ndiyo yeye kajifurahisha anadhani atauza sana hicho kitabu lakini believe me ahakikishe watoto wake au ndugu zake wasitumie ubin aina moja, ni hatari sana. Dkt Magufuli is an icon, anapendwa sana na watanzania.
Hakuna nchi takatifu hapa boss. Usitake uchafu wa viongozi ufichwe kwa kusaka sifa zisizokuwepo. Kama kiongozi ni mchafu huyo ni mchafu, na uchafu wake utawekwa wazi peupe. Hutaki jinyonge.Ni wapi nimeandika utakatifu wa kiongozi ?
Nchi ni takatifu....viongozi wakuu ni TURATHI ya nchi yetu Tanzania....kuwachafua...tena kwa msukumo wa maadui wa historia ya Tanganyika na Tanzania ni KUJINAJISI MWENYEWE.....
Kujielewa ni kutetea uovu wa dhalimu magu?Hujielewi kamanda
Kupendwa na hao watanzania sio kinga ya ukweli kuhusu uovu wake kuwekwa hadharani. Alikuwa ni kiongozi muovu fullstop.Nyani Ngabu nahisi kabendera atakuwa anatafuta ukimbizi. Maana alichokiandika ni hatari sana kwake na famili yake. Kitamgharimu sana kizazi chake. Ndiyo yeye kajifurahisha anadhani atauza sana hicho kitabu lakini believe me ahakikishe watoto wake au ndugu zake wasitumie ubin aina moja, ni hatari sana. Dkt Magufuli is an icon, anapendwa sana na watanzania.
Hadi aliokoka wakati wa jiwe, tulikuwa naye siloam wakati fulaniInasikitisha sana mpaka leo watu wanadhani jiwe alikua malaika. Tukisema leo watajwe watu makatili kuwai kutokea Afrika huwezi ukamuacha huyo kenge. Familia ya jiwe wenyewe wanamfahamu na hawawezi kutoka kukanusha sababu wanajua roho ya jiwe ilikuwaje. Mama jiwe amekula Mangumi na mateke sana ndio maana siku hizi yule mama ananenepa na kupendeza.
Askari wako wazalendo wamefanya nini kuhusu mashambulizi ya Lissu, kupokea kwa Ben Saanane na maelfu wengine, kutekwa na kuuliwa kwa AliKibao.Tunapparikia sana wazungu
Cha msingi atoe ushahidiSasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.