Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Naunga mkono hoja.....Rais Samia na CCM kwa pamoja sio wa kumchekea msaliti kabendera!
 
Kulikuwa na Machifu na watemi na hata huko Asia na Ulaya kulikuwa na wafalme, masultan n.k Muhammad alikuwa na chei kipi mpaka aunde tume ya kuchunguza mauaji? Nijibu basi acha kukimbia kimbia
Kumbe hamna kitu kichwani

Soma kitabu hichi

Thomas Carlyle - Mwandishi na Mfikiri wa Kifalsafa:

Katika kitabu chake "On Heroes, Hero-Worship, and the Heroic in History", Carlyle alizungumzia umuhimu wa Mtume Muhammad na kumtaja kama kiongozi wa kipekee. Alisema:
"Muhammad alikuwa kiongozi ambaye alikusanya umoja kutoka kwa jamii iliyokuwa imegawanyika. Alikuwa na nguvu ya kiroho na alikuwa na uwezo wa kushinda migogoro ya kijamii. Uongozi wake ulileta mabadiliko ya kimsingi katika historia ya dunia."
Carlyle alikiri kuwa Mtume alikuwa na upeo wa kipekee na alichangia kwa kiasi kikubwa katika mabadiliko ya kijamii na kiutawala
 
Kumbe hamna kitu kichwani
Umekosa jibu siyo!? Ndo muache kusambaza story za kutunga. Tangu enzi hizo hakuna jamii isiyo na uongozi na uzuri ni kuwa historia ya viongozi wa kila jamii ipo, nimekuuliza Mtume Muhammad alikuwa kiongozi wa eneo lipi mpaka useme aliunda tume ya uchunguzi wa mauaji na kutoa hukumu...umeishia kunitukana! Aya, kwaheri mfia dini.
 
Kiongozi wa Kidini:

Mtume Muhammad alileta ujumbe wa Uislamu kutoka kwa Allah kupitia Qur'an. Alikuwa mjumbe wa mwisho katika mfululizo wa manabii, na alielezea imani ya kipekee kwa Mungu mmoja (Allah). Aliongoza watu katika ibada za kila siku, kama vile sala (Swala), na alifundisha mafundisho ya dini ya Kiislamu kwa njia ya mfano bora.

Aliweka mifumo ya kidini inayoongoza maisha ya kila mtu, kutoka kwa familia hadi jamii, na alisisitiza haki za wanawake, wanyonge, na maskini.


2. Kiongozi wa Kijamii:

Alianzisha mabadiliko makubwa katika jamii ya Kiarabu, akileta umoja katika jamii iliyokuwa imegawanyika na kuzaliana migogoro ya kikabila. Alianzisha Mkataba wa Madina (Sahifat al-Madina), ambao uliweka misingi ya usawa, haki, na uhuru wa dini kwa watu wa makabila mbalimbali na dini tofauti.

Alikuwa mzalendo wa haki na alitetea wanyonge, alikataa ubaguzi wa kijinsia, na alisisitiza umuhimu wa kuheshimu haki za kila mtu katika jamii.


3. Kiongozi wa Kisiasa:

Mtume Muhammad aliongoza kwa mfano na aliunda serikali thabiti katika mji wa Madina baada ya Hijra (hamia kutoka Makka). Alikuwa na uwezo wa kusimamia masuala ya kijamii, kisiasa, na kisheria kwa ufanisi mkubwa. Aliunda mfumo wa serikali wa kwanza wa Kiislamu, ambao ulilenga katika haki, usawa, na utawala wa sheria.

Aliwezesha amani katika jamii yake, na alifanikiwa kupambana na vikwazo vya nje kama vita vya Uhud na Badr, akiwa kiongozi wa jeshi na mratibu wa mikakati ya kijeshi.
 
Kwani watanzani huwa hampendi ukweli? Mnataka ukweli upindishwe kwa faida ya nani? Kila mtu anajua jpm ameua watu kibao hata lisu alimkosa kosa ndo mana hata vyombo vya dola kimya.
 
Mbumbumbu wa cheti feki
 
Sasa wewe na makafiri wenzio wasomi maprofessor nani anajua? Wewe mvuta bangi wa ubungo unapinga. Professor mkatoliki wa marekani anaandika wewe unapinga. CHUKI ZAKO HAZIONDOSHI UKWELI
 
Ben saa 8 yu wapi ? Tuite wavhunguzi huru ....tujue walipo kuna list ndefu sana hata masikini watamgaxaji itv walipotezwa kusa...ulevi madaraka....acha iwe hivyo muda utaamua.....
 
Kwani watanzani huwa hampendi ukweli? Mnataka ukweli upindishwe kwa faida ya nani? Kila mtu anajua jpm ameua watu kibao hata lisu alimkosa kosa ndo mana hata vyombo vya dola kimya.
Weka ushahidi JPM alimuua Ben kwa kumpiga risasi ya kichwani Ikulu.
 
Tatizo la watu kama Kabendera huwezijua kama anaohuo ushahidi au Laa!

Familia inaweza kutamani kufanya ulichoshauri lakini ikiwa itabainika ni kweli. Nini kitatokea?

Hakuna ambaye yupo tayari kumvua Marehemu Baba au Mume nguo tena Akiwa kaburini
Inawezekana sana hata hiyo familia haijashangazwa na hayo aliyoyaandika Kabendera
 
Ben saa 8 yu wapi ? Tuite wavhunguzi huru ....tujue walipo kuna list ndefu sana hata masikini watamgaxaji itv walipotezwa kusa...ulevi madaraka....acha iwe hivyo muda utaamua.....
Kwamba yuko wapi na nani alimuua kwa kumpiga risasi kichwani ni mambo tofauti kabisa.
 
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
wewe ndiye unaona si jabo dogo, what if yeye aliona ni sifa?
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Kama kwa Magufuli kwako alishafika viwango vya imani unadhani kuna fact yoyote itabadilisha hilo?
Kwanini unasema alilopoka? Ni nani aliwahi kumuomba ushahidi akashindwa kuutoa hata useme anaropoka au ni porojo?
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Kwa hiyo ingekuwa ni kweli ndiyo wangesema au kuchukua hatua yoyote?
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
Upo sahihi.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
what if it's true? Sijaona popote ukishauri chochote kama jambo hili litakuwa na ukweli.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Mbona umeng'ang'ania sana kuwa ni 'libel'? What if itt's true?
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Upo sahihi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Yeye mwenyewe alishashauri wakosoaji fulani 'kupotezwa'.
Ni sahihi
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Ningekuelewa kama ungejikita zaidi kwenye kushinikiza na kushauri kama hivi kwamba ushahidi utolewe. Kuliko kuumizwana tuhuma na kuishia kusema kwa nini achafuliwe
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
whatif ni za kweli? Mbona haumalizii?
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Kwenye urais wake hakuuendesha na familia yake. Kwenye urais wake alikua na akina Majaliwa, vyombo vya ulinzi na usalama, bunge, mahakama, chawa, Chama chake na wengineo.
Familia haikuwa mdauwa urais wake, hivyo haina uwezo wa kuongea jambo lolote kuhusiana na iraiswake. Hata ukisikiliza mahojiano ya Jenerali Mabeyo kuhusu nyakati zake za mwisho wa uhai wake, aliweza kuita watu mbalimbali hadi Padre wa kumuombea lakini hakuna alipoita familia, alikufa akiwa amezungukwa na watu lakini si wanafamilia.
Ni tofauti na ilivyo sasa ambapo Abdul ndiye anaelekeza nani apewe Dipomatic Passport na nani ateuliwe au apigwe chini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Uposahihi kujiuliza, but What if ni kweli?
Vigumu sana kuamini hilo.
Kukubali Vs Kuamini.
Lijapo swala la Magufuli kwako ni very personal
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
Nimeshakwambia hilo lipo nje ya uwezo wa familia. Kama Magufuli anatuhumiwa kufanya hayo akiwa kwenye urais, basi wa kuchukua hatua ni serikali siyo familia. Akichafuliwa Magufuli means imechafuliwa Ikulu, vimechafuliwa vyombo vya ulinzi na usalama, chama chake, serikali yote n.k
Halafu kwanini unawafundisha wawe na tabia ya kutojiamini ya kuchora mpaka mchangani? Ukifutika je?
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Umetumia muda mwingi sana (99%) kulalamika na kushambulia kama mtu ambaye tayari ameuona ushahidi na haukubaliani nalo.
Unadhani akili yako ipo tayari kupokea ushahidi wowote wa yuhuma yoyote ile dhidi ya Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…