What I need to know is only the nuclear family
what i need to know is only the nuclear family
Ndugu wana JF
Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? na pia ina wake wangapi kama yupo zaidi ya mmoja.
Regards,
Kiraia
Familia za waafrica utasimama?
kwani zuma mzungu?
ukijua kuwa ana wake zaidi ya huyo anayejulikana plus network of concubines na wake za watu and many children si utazimia?
that's why is classfied top secret, no need to know.
Shida Chifu... siyo kwamba ni siri ila aibu itafuatia kwani the size of this family haijulikani kwani ni kubwa mno iringa, Dar, Bwagamoyo, Zanzibar etc etc.
tatizo hii nchi yetu ni ya ajabu sana-mambo madogo inayakukuza sana-swala la kujua familia ya rais linakuwa gumu sana-yani linaonekana kuwa ni confidential-wakati ni swal la kawida,ndo mana hata details za familia ya rais wetu inkuwa ngumu kuzpata-kila mtu anasema,lake ajuavyo yeyejamani mbona tunapenda kukuza mambo?....sasa kujua familia ya kiongozi wetu ni issue?....kila kitu ni siri "nyeti" kwenye nchi hii....sijui nini ndio sio siri....inachosha!