Ndugu wana JF
Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? na pia ina wake wangapi kama yupo zaidi ya mmoja.
Regards,
Kiraia
Mpm Jeykeywaukweli atakwambia
Kuna katoto kake kamoja kapo pale Njombe.............. mwalimu mkuu akakafukuza shule kwa sababu ya ada......kajamaa kakazama kwa mkuu wa wilaya...baada ya kukahoji kakaweka kila kitu wazi......ilibidi mtu aingie mfukoni mwake akalipie na baada ya hapo hakajawahi kufukuzwaShida Chifu... siyo kwamba ni siri ila aibu itafuatia kwani the size of this family haijulikani kwani ni kubwa mno iringa, Dar, Bwagamoyo, Zanzibar etc etc.
Niwapi ulishawahi kuona hata picha ya Baba na Mama yake na JK?:teeth:
Niwapi ulishawahi kuona hata picha ya Baba na Mama yake na JK?:teeth:
haya....familia ya rais hii hapa......Familia ya Rais