Familia yahamishia makazi porini baada ya kushindwa kulipa kodi Ksh.1500

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Janga la coeona limesababisha raia mmoja wa Kenya na familia yake kwenda kuishi msituni kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kushindwa kulipa kodi ya kiasi cha Ksh. 1500

Source: NTV
 
Du ela ya mboga tu !! Yani Tsh. 31,000 inamfanya mwananchi wa taifa linalojiita lina uchumi wa kati
 
Janga la coeona limesababisha raia mmoja wa Kenya na familia yake kwenda kuishi msituni kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kushindwa kulipa kodi ya kiasi cha Ksh. 1500

Source: NTV
Sasa hii pesa huko ya miezi mingapi
 
Kenya inavyojiona a.k.a Europe ya East Africa imeshafikia unyonge wa kiasi hiki!!!
 
Kenya si developed country but developing.
Ofcos maskini wako,
Ata developed like Mauritius/ Seychelles utapata poor people worse than that but small percentage.
Unless unatoka Kwa developed country ndio utaringia watu.
 
Back
Top Bottom