luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Du ela ya mboga tu !! Yani Tsh. 31,000 inamfanya mwananchi wa taifa linalojiita lina uchumi wa katiJanga la coeona limesababisha raia mmoja wa Kenya na familia yake kwenda kuishi msituni kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kushindwa kulipa kodi ya kiasi cha Ksh. 1500
Source: NTV
Sasa hii pesa huko ya miezi mingapiJanga la coeona limesababisha raia mmoja wa Kenya na familia yake kwenda kuishi msituni kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kushindwa kulipa kodi ya kiasi cha Ksh. 1500
Source: NTV
Ha ha ha landlord wa kibera hataki masihara. Hiyo itakuwa kodi kwenye zile slums zaoDu ela ya mboga tu !! Yani Tsh. 31,000 inamfanya mwananchi wa taifa linalojiita lina uchumi wa kati
Itakua maana wamesema Kwa miezi 6 wakati mimi mtanzania wa kawaida tu hata kodi Kwa mwezi mmoja tu haitoshiHa ha ha landlord wa kibera hataki masihara. Hiyo itakuwa kodi kwenye zile slums zao
Imetaka yenyewe kuvuliwa nguoKenya inavyojiona a.k.a Europe ya East Africa imeshafikia unyonge wa kiasi hiki!!!