Nasi ndo tunachoogopa hicho, maana kwa maneno yao unaweza kumpa kelbu ukaenda kulala selo bila sababu ya msingi!
Kuna shoga alikuja mtaan kwetu napoishi,sasa mimi nilikua simpendi kuliko maelezo,watu walikua wanapenda kupiga nae story sababu ya story zake za kishenzi,,ktk kumchukia kule nae akajua sasa akaanza nichafua kua nilimuomba akaninyima,nikataka kumbaka,,thats y namchukia,,ile kauli kiukweli ilinizoofisha sana,na ukizingatia pale mtaa nilikua naheshimika hatari,,
Nikafikiria huyu nikimfata kwa mdomo wanamatusi sana,maana pale mtaa wanawake hata wawe 5 hawawezi kumtusi wakamshinda,alikua anamdomo mchafu hatari.
Siku natoka zangu misele namuona mbele uyo anazungusha kalio,nilipita nae kama mwewe,nilipiga tairi moja,alafu huzur nilimpigia upande wangu,alikuja kupanda mpaka kwenye kioo akapita juu ya body akadondoka nyuma,akatulia kwenye boot.alitibiwa akapona lkn hatonisahau ktk maisha yake,siku nilienda hospitali nilimwambia next time tutazungumza mengine shukuru umepona.