Familia yakataa mamilioni ya shilingi ili mtoto wao asicheze filamu

Wewe nawe ni mbulula tu, kipi usichoelewa hapo? au unataka tu kukosoa kisa flani ndio kapost? ulitaka iandikweje?
Kumaliza ugomvi:
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu;
SWALA ni ibada ya waislam, mnyama wa porini.
Hivyo neno sahihi ni SUALA
 
Mi nikaja mbio huku nikijiuliza kwamba Bongo Movie ishaanza kulipa mamilioni!
 
Wakaache kwanza kakikua ndio wakaeke wasije media wakamtumia sahivi
 
Jina la baba yake kajisaidie magharibi kweli mwenye nacho huongezewa
 
Katoto kenyewe kutwa kuzungushwa kwenye fashion week......

Na bado kawekwe kwenye reality show mbona watakachosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…