Mbona hajafa na leo ni 12/02??
Good News nimesikia magazeti ya leo kwamba "Bobbi kristina afungua macho" sijasikiliza contents za ndani ni headlines za magazeti.
Good News nimesikia magazeti ya leo kwamba "Bobbi kristina afungua macho" sijasikiliza contents za ndani ni headlines za magazeti.
Ariel Sharon alikaa in comma na hizi mashine karibia miaka saba huyu leo wiki tu wana anza kumletea zengwe?
Hivi Fidel Castro raisi wa zamani wa Cuba bado anapumulia mashine?
mipango ya Mungu tofauti sana na ya binadamu