Family business ni bora kuliko kujiajiri mwenyewe; utengano ni udhaifu, umoja ni nguvu

1.Sisi LAMI na MIPINGO haiwezekani fikiri mume na mke hufichana mapato yao sembuse mradi wa familia? Mtavurugana na undugu ufe kabisaaaaaa! Labda Kama mlilelewa ktk ushirikiano wa Hali ya juu.

2.Watu weupe, WAHINDI NA WAARABU hulelewa hivyo pia hata wanapo wapeleka watoto wao shule na kisha chuo huwa wame waaandaa kuja kuwa fulani katika hiyo miradi au mkampuni ya FAMILIA ZAO.

3.MPINGO unampeleka mwanao shule HUJUI asomee nini na amalizapo HUJUI Nini atakacho kuja fanya!!!!
 
NDUGU WA FAMILIA GANI LABDA UNAWAZUNGUMZIA ?!?!

WABONGO ?!?!

UNAPIGWA HADI MTAJI WOTE-
WANANYWEA CHAI NA MAANDAZI !!!
 
Ila sisi watu weusi hapana hii roho tulopewa tumeonewa sisi ni wabinafs mpka inasikitisha

Mtu mweusi kaumbiwa umaskin tu
 
Hizi tunazoita biashara 90% ni sole proprietorship ni biashara za one man army one man show kimsingi haziwezi mpeleka mtu yoyote popote ndo maana ni mgumu mtu kua na duka kariakoo baadae umrithishe mwanao na mwanao aje amrithishe mwanae
 
Kwa mara ya kwanza najaribu kuukubali ukwekli kuhusu mtu mweusi najaribu kwenda mbali zaidi inawezekana tuliumbwa kwa ajili ya kazi ngumu ngumu na michezo migumumigumu.....

hili daraja tulikubali na tuone fahari maana mara nyingi hata mweusi akijaribu vipi hawezi kabisa kuwa na ustaarabu wa mtu mweupe asilimia 100, kumbe nisababu ya mambo magumu magumu na kazi ngumu ngumu wengi ni wachezaji mashuhuri..n.k

Tunaongoza kuoneana wivu chuki roho mbaya hila na yanayofanana na hayo

Ila nimeelewa ndo maana hata maeneo ya kijografia yaliumbwa na kuweka kwa jinsi tulivyo.......si mambo yetu ni magumumagumu
 
Kila race iliumbwa kwa namna yake wao (asians) nguvu yao ipo katika ushirikiano na sisi nguvu yet ipo kwenye ubinafs
Cha muhimu Kila Ni ku embrace talanta zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…